IQNA – Watu wote, wale wanaokubaliana naye na wale wasioafikiana naye, wamekiri kwamba Imam Ja’afar Sadiq (AS) ana nafasi kubwa katika sayansi na elimu, na hakuna anayeweza kukana hili.
Habari ID: 3480594 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/25
Maimamu Watoharifu
IQNA – Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu amesema Imam Sadiq (AS) alikuwa na nafasi muhimu katika kuhifadhi Uislamu na kuhuisha mafundisho ya Kiislamu kwa kuwafunza wanafunzi na kuiongoza jamii katika mwelekeo sahihi.
Habari ID: 3478766 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04
Ahl-ul-Bayt (AS); Taa za Mwongozo /3
TEHRAN (IQNA) – Kwa kutumia fursa iliyotolewa na hitilafu za kisiasa miongoni mwa watawala wa wakati wake, Imam Sadiq (AS) aliweza kuinua fikra za madhehebu ya Shia katika nyanja mbalimbali na katika nyanja zote za kiitikadi, amebaini mwanazuoni mmoja.
Habari ID: 3477850 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/06
TEHRAN (IQNA) – Imam Sadiq (AS) aligawanya sayansi za Kiislamu katika nyanja mbalimbali kama vile Fiqhi (sheria), teolojia, Hadith, tafsiri ya Qu’rani Tukufu, n.k, na kuanzisha mkondo wa maendeleo ya elimu.
Habari ID: 3477719 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/12
Sunni na Shia
TEHRAN (IQNA) - Imam Sadiq (AS) ni mmoja wa shakhsia mashuhuri wa elimu na sayanzi za Kiislamu katika nyanja mbalimbali kama vile fiqhi, tafsiri, maadili, jiografia, uchumi, unajimu, tiba na hisabati, ambapo wanafunzi wake waliibua uwezo mkubwa katika maendeleo ya elimu na sayansi katika kote katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475297 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/26
Siku kama ya leo miaka 1293 iliyopita Imam Ja'far Sadiq (AS) mmoja kati ya wajukuu wa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW), aliuawa shahidi kwa amri ya mtawala dhalimu wa Kiabbasi, Mansur al Dawaniqi.
Habari ID: 3472873 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/17